Category Archives: Habari

07 Jul
0

KAMATI KUU YA CHADEMA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe. Kikao hicho pamoja na masuala mengine, kitapokea taarifa za ...

Soma zaidi
18 Jun
0

HOTUBA YA BAJETI MBADALA YA KAMBI YA UPINZANI ILIYOKATALIWA BUNGENI LEO HII

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO MHE. DAVID  SILINDE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI   KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA ...

Soma zaidi
17 Jun
0

BAJETI 2016/17 NA 2017/18 NI BAJETI HEWA

Soma zaidi
17 Jun
0

MTAZAMO WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2018/19

MTAZAMO WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2018/19   UTANGULIZI Kwanza niwashukuru kwa kuitikia mwito wa kuzungumza nanyi ili kupitia kwenu tuweze pia kuzungumza na Watanzania. Pili, niwatakie Waislam na Watanzania kwa ...

Soma zaidi
04 Jun
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kutoa taarifa ya kulaani na kupinga ukiukwaji wa Katiba, Sheria na Kanuni mbalimbali uliofanywa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bwana Gerson Msigwa tarehe 21 na 25 Mei, 2018 ambapo kwa kujua au kutojua ...

Soma zaidi
27 May
0

TANZIA: RATIBA YA KUAGA NA MAZIKO YA MHE.KASUKU BILAGO MBUNGE WA JIMBO LA BUYUNGU, MKOA WA KIGOMA

Tunautangazia umma kuhusu ratiba ya kuaga na mazishi ya Mbunge wa Buyungu Mhe.Kasuku Bilago ambaye pia alikuwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Chama Kanda ya Magharibi yenye Mikoa ya Kigoma,Katavi na Tabora. Kwa upande wa ...

Soma zaidi
04 May
0

UHURU WA HABARI NI DEMOKRASIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA UHURU WA HABARI NI DEMOKRASIA Wakati dunia ikiazimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani, ambayo huadhimishwa tarehe 3 Mei ya kila mwaka, huku zikiwepo nchi ambazo zimeendelea kunufaika na matokeo ya kuimarisha uhuru ...

Soma zaidi
21 Apr
0

RAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA uweze KUJISITIRI!

Anaandika HALIMA MDEE (MB) :  RAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA uweze KUJISITIRI! NDUGU RAIS naona Trillion 1.5 imekutoa mafichoni, CAG  ameivua nguo SERIKALI yako! CHUTAMA uweze kujisitiri !! USITISHE WATU! Nasema na wewe  nikiwa nina kumbukumbu ya kukamatwa na vyombo ...

Soma zaidi
19 Apr
0

TAMKO: Tunalaani kwa nguvu zote udhalilishaji huu unaofanywa dhidi yetu.

Baraza la Wazee Taifa la CHADEMA lilianza ziara ya kukutana na Wazee kwenye Vikao vya Ndani jana tarehe 16.04.2018 na walianzia Mkoa wa Morogoro.     Jambo la kusikitisha ni kuwa jana usiku Polisi walivamia walikokuwa wamelala Viongozi na kuwakamata baadhi yao ...

Soma zaidi
01 Apr
0

Salamu za Pasaka

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinawatakia Wananchi wote Heri ya Siku Kuu ya Pasaka, Pasaka Njema 2018.

Soma zaidi
6789
Layout Settings