Category Archives: Bawacha

21 Jun
0

Mwenyekiti (BAWACHA) aalikwa Madrasa ya Wanawake Kigoma

Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa BAWACHA Mhe. Sharifa Suleiman pamoja na viongozi wa Baraza hilo Mkoa wa Kigoma leo Juni 21, 2022 wamealikwa kwenye Madrasaya kina Mama jimbo la Kigoma Mjini Kata ya Gungu na kulakiwa na Mwenyekiti ...

Soma zaidi
10 Mar
0

HOTUBA YA MWENYEKITI MHESHIMIWA MBOWE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8, 2022 IRINGA

Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum. Ukiondoa kundi dogo sana, tena tuliloliamini lakini likakiasi Chama kwa vipande vya fedha, Wanawake mmekuwa nguzo ...

Soma zaidi
27 Jan
0

ZIARA YA MWANASHERIA MKUU TUNDU LISSU (MB) ULAYA NA MAREKANI

ZIARA YA MWANASHERIA MKUU TUNDU LISSU (MB) ULAYA NA MAREKANI Mwanasheria Mkuu wa Chama Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika nchi mbili za Ulaya na Marekani kuanzia Jumatatu, Januari 28, mwaka huu, ambako mbali ya kufanya vikao ...

Soma zaidi
16 Oct
0

MHE. GODBLES LEMA AITAKA SERIKALI KURUHUSI WACHUNGUZI WA KIMATAIFA

Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Goodbles Lema mamepma leo amitaka Serikali kuruhusu wachunguzi kutoka nje na kwa kufanya hivyo kutaiondolea Serikali lawama juu ya kutekwa kwa mfanjabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ Lema aliyasema ...

Soma zaidi
15 Oct
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   Ndugu waandishi,  Zipo taarifa potofu zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Aikaeli Mbowe na Katibu Mkuu Dr.Vincent Mashinji wametofautiana kwenye kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika nyumbani kwa Mwenyekiti mwishoni mwa ...

Soma zaidi
28 Sep
0

ILI KUPATA KUPAKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA CHAMA MKOA DAR ES SALAAM

FOMU NO 5E KATIBU – CHAMA   FOMU NO 5E(i) KATIBU-WAZEE   FOMU NO 5E(ii) KATIBU – BAWACHA   FOMU NO 5E(iii) KATIBU – BAVICHA   FOMU NO 6E – CHAMA   FOMU NO 6E (i) – WAZEE   FOMU ...

Soma zaidi
28 Sep
0

MWENYEKITI CHADEMA TAIFA KUOINGOZA UZINDUZI WA SERA YA CHADEMA TOLEO LA 2018

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akizindua Sera ya CHADEMA toleo la Mwaka 2018, ghafla hiyo ya uzinduzi ilihudhuriwa na taasisi mbalimbali za Kiserikali na Mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya Nchi. Akiongea na wageni waalikwa Mhe. Freeman Mbowe ...

Soma zaidi
21 Apr
0

RAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA uweze KUJISITIRI!

Anaandika HALIMA MDEE (MB) :  RAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA uweze KUJISITIRI! NDUGU RAIS naona Trillion 1.5 imekutoa mafichoni, CAG  ameivua nguo SERIKALI yako! CHUTAMA uweze kujisitiri !! USITISHE WATU! Nasema na wewe  nikiwa nina kumbukumbu ya kukamatwa na vyombo ...

Soma zaidi
01 Apr
0

Tunajua hali ya kisiasa nchini sio nzuri – Mdee

Mwenyekiti wa Baraza la Wanake Chadema Mhe. Halima James Mdee akiangalia kazi za mikono zinazofanywa na akina mama wajasiriamali wadogo wadogo siku ya maazimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo BAWACHA wailiazimisha kitaifa Jijini Mbeya.   Akiongea na akina mama mbalimbali waliojitokeza ...

Soma zaidi
Layout Settings