TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SERIKALI YETU NA UVUNJWAJI WA KATIBA YA NCHI Ndugu wana Habari, napenda kutoa shukrani na pongezi zangu za dhati kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuhabarisha umma. Pia niwatakie ushindi watoto wetu wote wanaofanya mtihani wa ...
Soma zaidiCategory Archives: Habari
Home / Habari / Kona ya Katibu Mkuu / Matamko / Press Release /
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA FUPI KWA WABUNGE KUHUSU HALI YA TAIFA KWA KIPINDI CHA JULAI HADI OCTOBA 2016. UTANGULIZI. Tathimini hii imefanyika katika kipindi ambacho serikali ya awamu ya tano imeanza utekelezaji wa bajeti yake ya kwanza ...
Soma zaidiGHARAMA ZA MATENDO YA RAIS MAGUFULI ZIMEANZA KUFICHUKA: BOMBARDIER IMEKAMATWA CANADA!!!
UTANGULIZI Leo ni takriban mwaka mmoja na robo tatu tangu John Pombe Magufuli ale kiapo cha kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mengi yametokea katika kipindi hiki cha karibu miaka miwili. Rais Magufuli amepiga marufuku shughuli ...
Soma zaidiThe proposed bill limits the functions and scope of political parties. At the same time, the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 stipulates in its preamble that: “We, the people of the United Republic of Tanzania, have firmly ...
Soma zaidiMSIMAMO WA VYAMA VYA CUF, NCCR -MAGEUZI,CHAUMMA NA CHADEMA- KUHUSU KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO WA TAR 13-01-2018 .
UTANGULIZI Serikali ya awamu ya tano imeonyesha wazi kuwa haiko tayari kufuata Katiba na Sheria za nchi katika utendaji wake wa kazi na imejipambanua wazi kuwa haiheshimu Demokrasia na Haki za Binadamu zimeendelea kuvunjwa na hakuna hatua zozote zinazoonekana kuchukuliwa ...
Soma zaidiBaada ya upigaji kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Februari 17, 2018 kumalizika huku ukigubikwa na vitendo viovu vya kihalifu dhidi ya demokrasia na uchaguzi wenyewe, mathalani …
Soma zaidiChadema yasema haitambui matokeo Siha, Kinondoni
Dar es Salaam. Chadema imesema haitambui matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika katika majimbo ya Siha na Kinondoni jana Februari 17,2018. Chama hicho katika taarifa iliyotolewa jana usiku hata kabla ya matokeo kutangazwa, kimesema yamepatikana kinyume cha Katiba ya ...
Soma zaidiMgombea Chadema Salum Mwalimu akamatwa na Polisi Magomeni
Dar es Salaam. Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu amekamatwa muda huu na polisi katika kituo cha kupigia kura cha Idrisa kata ya Magomeni. Muda mfupi uliopita baadhi ya wananchi wa kata hiyo wamedai kuwa katika kituo ...
Soma zaidiTafuta
Zilizozomwa zaidi
-
-
IDU YAITAKA TANZANIA KURUDISHA HARAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
by Remsi Kassanda July 19, 2023 8:18 am -
TAARIFA KWA UMMA
by Chadema Digital July 3, 2022 2:44 pm