Category Archives: Matamko

06 Mar
0

AZIMIO LA MTWARA

1. UTANGULIZI SISI WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) AMBAO MAJINA YETU YAMEAMBATANISHWA HAPA CHINI, tuliokutana hapa Mtwara kati ya tarehe 4 hadi 6 Machi, 2024, kwa niaba ya Wanachama, wafuasi wanaotuunga mkono na kwa ...

Soma zaidi
15 Jan
0

MDAHALO BAINA YA CHADEMA NA CCM

MDAHALO BAINA YA CHADEMA NA CCM   Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman  Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka  Katibu ...

Soma zaidi
12 Nov
0

Taarifa kwa Vyombo vya Habari – 10 Nov, 2019

Taarifa kwa Vyombo vya Habari – 10 Nov, 2019

Soma zaidi
19 Jun
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kushangazwa na kitendo cha Naibu Spika wa Bunge, Ndugu Tulia Ackson, kushindwa kuchukua hatua dhidi ya kitendo cha udhalilishaji ...

Soma zaidi
18 Jun
0

KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK) Baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pia kwa kushirikiana na vyama vingine washirika, kuibana mara kadhaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ...

Soma zaidi
04 Jun
0

NEC IJINASUE KATIKA TUHUMA ZA KUHARIBU NA KUVURUGA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA NEC IJINASUE KATIKA TUHUMA ZA KUHARIBU NA KUVURUGA UCHAGUZI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiwa sehemu ya wadau wa uchaguzi nchini kinaitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza hadharani kwa umma ...

Soma zaidi
28 Sep
0

MWENYEKITI CHADEMA TAIFA KUOINGOZA UZINDUZI WA SERA YA CHADEMA TOLEO LA 2018

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akizindua Sera ya CHADEMA toleo la Mwaka 2018, ghafla hiyo ya uzinduzi ilihudhuriwa na taasisi mbalimbali za Kiserikali na Mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya Nchi. Akiongea na wageni waalikwa Mhe. Freeman Mbowe ...

Soma zaidi
12 Jul
0

KESI INAYOWAKABILI VIONGOZI WAKUU NA BAADHI YA WABUNGE KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU

Kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabili viongonzi wakuu na Wabunge saba wa CHADEMA imeendelea katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu leo 10/7/2018 kwa kuanza kwa kusomwa kwa mwenendo wa kesi hiyo, Hakimu anayesimamia kesi hiyo hakimu Willibard Mashauri alisoma ...

Soma zaidi
07 Jul
0

KAMATI KUU YA CHADEMA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe. Kikao hicho pamoja na masuala mengine, kitapokea taarifa za ...

Soma zaidi
21 Jun
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mnamo Juni 18, mwaka huu, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kinyume kabisa na Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Mwaka 2016, Kanuni ya 99 fasili ya 5, lilizuia kuwasilishwa mezani kwa Hotuba ya Bajeti Mbadala ya Kambi ...

Soma zaidi
123
Layout Settings