Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kutoa taarifa ya kulaani na kupinga ukiukwaji wa Katiba, Sheria na Kanuni mbalimbali uliofanywa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bwana Gerson Msigwa tarehe 21 na 25 Mei, 2018 ambapo kwa kujua au kutojua ...
Soma zaidiCategory Archives: Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje

Tangu demokrasia ya kale Katika nchi ambazo zinatumia misingi ya kisheria ni wazi kuwa kunakuwepo na vyombo vya aina tatu kwa ajili ya kugawana madaraka ili kuweza kuleta ufanisi na utendaji wa utoaji haki kwa wananchi wake yaani Bunge, Mahakama ...
Soma zaidi
Ndugu Mhariri, naomba kupata nafasi ili kuweza kuyaweka maoni yangu binafsi juu ya mambo ambayo niliweza kujifunza kutokana na uchaguzi Mkuu wa Kenya uliomalizika hivi karibuni . Kenya ni nchi ambayo inakadiriwa kuwa na watu takribani milioni 48 na kati ...
Soma zaidi
Ndugu Mhariri , Ninaomba nafasi kwenye gazeti lako ili nami ambaye sauti yangu inatoka nje ya Bunge iweze kusikika na hasa baada ya ‘sauti kutoka Bungeni’ kusikika kupitia kwa mtu aliyejitambulisha kuwa anaitwa Owen Mwandubya ambaye ni mkuu wa kitengo ...
Soma zaidi
MAJUKUMU YA WAKURUGENZI WA HALIMASHAURI-JE WALIOTEULIWA WANA WELEDI NA UWEZO WA KUYAMUDU ? Kutokana na uteuzi uliofanywa na Rais wa kuteua Wakurugenzi wa Halimashauri za Miji, Wilaya, Manispaa na Majiji kwa mujibu wa Katiba yetu, na kwa kuwa kwenye jamii ...
Soma zaidi