ZIARA YA MWANASHERIA MKUU TUNDU LISSU (MB) ULAYA NA MAREKANI Mwanasheria Mkuu wa Chama Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika nchi mbili za Ulaya na Marekani kuanzia Jumatatu, Januari 28, mwaka huu, ambako mbali ya kufanya vikao ...
Soma zaidiCategory Archives: Chadema TV
Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe ameeleza kuwa taarifa siku nne kabla ya Mbunge wa Mbeya Mjini na Katibu wa Kanda ya Nyasa kuhukumiwa miezi mitano na zoezi hilo limearitibwa na Usalama wa Taifa na Mkuuwa Mkoa wa Mbeya.
Soma zaidiSerikali haiumii kwamba raia wake amepoteza maisha inawaza imetumia pesa nyingi kumgharimia mwanafunzi Akwilina kwamba alikuwa mnufaika wa mkopo, Sisi CHADEMA tunalaani mauaji ya mwanafunzi Akwilina mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).Kwenye press hii anazungumza Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itifaki ...
Soma zaidi