Category Archives: Wazee

19 Apr
0

TAMKO: Tunalaani kwa nguvu zote udhalilishaji huu unaofanywa dhidi yetu.

Baraza la Wazee Taifa la CHADEMA lilianza ziara ya kukutana na Wazee kwenye Vikao vya Ndani jana tarehe 16.04.2018 na walianzia Mkoa wa Morogoro.     Jambo la kusikitisha ni kuwa jana usiku Polisi walivamia walikokuwa wamelala Viongozi na kuwakamata baadhi yao ...

Soma zaidi
16 Mar
0

BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA: TAARIFA ILIYOSOMWA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 13/03/2018

BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAARIFA ILIYOSOMWA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 13/03/2018   Ndugu wanahabari   Baada ya tafakuri ya kina kuhusu mwenendo wa hali ya kisiasa nchini na na kuona hatari kubwa inayoikabili nchi yetu, Baraza la ...

Soma zaidi
02 Mar
0

BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 7/8/2016

BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAARIFA ILIYOSOMWA MBELE YA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 7/8/2016 Ndugu wanahabari Awali ya yote, Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), tunapenda kuwashukuru kwa kuitikia wito wetu wa kukutana nanyi. Kupitia mkutano ...

Soma zaidi
02 Mar
0

TAMKO LA KULAANI KAULI AU MAPENDEKEZO YA MZEE ALI HASSAN MWINYI YA KUTAKA KUVUNJWA KWA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAMKO LA KULAANI KAULI AU MAPENDEKEZO YA MZEE ALI HASSAN MWINYI YA KUTAKA KUVUNJWA KWA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ndugu waandishi wa habari. Sisi, Baraza la ...

Soma zaidi
02 Mar
0

HOTUBA YA BARAZA LA WAZEE KUPITIA VYOMBO VYA HABARI SIKU YA WAZEE DUNIANI 1/10/2017

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA ) BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA HOTUBA YA BARAZA LA WAZEE KUPITIA VYOMBO VYA HABARI SIKU YA WAZEE DUNIANI 1/10/2017 Ndugu wanahabari Tunashkuru kwa fursa hii nyingine ya kukutana na kuzungumza na Watanzania kupitia ...

Soma zaidi
Layout Settings