Category Archives: Habari Picha
Home / Habari Picha /
Mwenyekiti wa (CHADEMA) Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe leo Jumatano Machi 30, 2022 amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC Kenya Jijini Nairobi. Kupitia kwao, ...
Soma zaidiMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Aikael Mbowe akiwa ameambatana na Mke wake Dkt. Lillian Mbowe wameweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Johari Mtei na Baba yake mdogo , marehemu Manase Mbowe, waliofariki akiwa ...
Soma zaidiMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe: Freeman Mbowe leo Jumatatu Machi 21, 2022 amemtembelea Muasisi wa Chama Mzee Edwin Mtei nyumbani kwake Tengeru, Arusha kumpa pole Kwa kufiwa na Mkewe wakati akiwa Gerezani.
Soma zaidi1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni kwa Kanda za Unguja na Pemba, uliofanyika leo Septemba 7, 2020, katika Uwanja wa Kibandamaiti, Zanzibar. 2. Mgombea ...
Soma zaidi1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Nyasa (Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa) uliofanyika leo Jumamosi, Septemba 5, 2020, katika Uwanja ...
Soma zaidiMsafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe, mkoani Mbeya, mchana wa leo kuelekea Uwanja wa Rwandanzovwe, Mbeya mjini.
Soma zaidiPicha mbalimbali zikionesha Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu) uliofanyika leo Septemba 2, 2020, katika Uwanja wa ...
Soma zaidiPicha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa Tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu tangu alipotua Uwanja wa Ndege wa Kahama leo asubuhi. Kisha kuanza safari ya kuelekea Shinyanga mjini ambapo alilazimika kusimama mara kadhaa sehemu mbalimbali kuwasalimia mamia ...
Soma zaidiTafuta
Zilizozomwa zaidi
-
-
IDU YAITAKA TANZANIA KURUDISHA HARAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
by Remsi Kassanda July 19, 2023 8:18 am -
TAARIFA KWA UMMA
by Chadema Digital July 3, 2022 2:44 pm