Category Archives: Habari

16 Oct
0

MHE. GODBLES LEMA AITAKA SERIKALI KURUHUSI WACHUNGUZI WA KIMATAIFA

Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Goodbles Lema mamepma leo amitaka Serikali kuruhusu wachunguzi kutoka nje na kwa kufanya hivyo kutaiondolea Serikali lawama juu ya kutekwa kwa mfanjabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ Lema aliyasema ...

Soma zaidi
15 Oct
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   Ndugu waandishi,  Zipo taarifa potofu zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Aikaeli Mbowe na Katibu Mkuu Dr.Vincent Mashinji wametofautiana kwenye kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika nyumbani kwa Mwenyekiti mwishoni mwa ...

Soma zaidi
28 Sep
0

ILI KUPATA KUPAKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA CHAMA MKOA DAR ES SALAAM

FOMU NO 5E KATIBU – CHAMA   FOMU NO 5E(i) KATIBU-WAZEE   FOMU NO 5E(ii) KATIBU – BAWACHA   FOMU NO 5E(iii) KATIBU – BAVICHA   FOMU NO 6E – CHAMA   FOMU NO 6E (i) – WAZEE   FOMU ...

Soma zaidi
28 Sep
0

MWENYEKITI CHADEMA TAIFA KUOINGOZA UZINDUZI WA SERA YA CHADEMA TOLEO LA 2018

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akizindua Sera ya CHADEMA toleo la Mwaka 2018, ghafla hiyo ya uzinduzi ilihudhuriwa na taasisi mbalimbali za Kiserikali na Mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya Nchi. Akiongea na wageni waalikwa Mhe. Freeman Mbowe ...

Soma zaidi
22 Jul
0

NAIBU KATIBU MKUU BARA JOHN MNYIKA ATUWA KASANDA WILAYA YA KAKONKO MKOA WA KIGOMA

Naibu Katibu Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Kibamba Mhe. John Mnyika akiwa amefatana na Mgombea Ubunge Jimbo la Buyungu pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama kwenye uzinduzi wa kampeni ulifanyika Kata ya Kasnada yenye vijiji vinne huku vijiji vitatu ...

Soma zaidi
12 Jul
0

KESI INAYOWAKABILI VIONGOZI WAKUU NA BAADHI YA WABUNGE KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU

Kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabili viongonzi wakuu na Wabunge saba wa CHADEMA imeendelea katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu leo 10/7/2018 kwa kuanza kwa kusomwa kwa mwenendo wa kesi hiyo, Hakimu anayesimamia kesi hiyo hakimu Willibard Mashauri alisoma ...

Soma zaidi
07 Jul
0

KAMATI KUU YA CHADEMA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe. Kikao hicho pamoja na masuala mengine, kitapokea taarifa za ...

Soma zaidi
18 Jun
0

HOTUBA YA BAJETI MBADALA YA KAMBI YA UPINZANI ILIYOKATALIWA BUNGENI LEO HII

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO MHE. DAVID  SILINDE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI   KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA ...

Soma zaidi
17 Jun
0

BAJETI 2016/17 NA 2017/18 NI BAJETI HEWA

Soma zaidi
17 Jun
0

MTAZAMO WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2018/19

MTAZAMO WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2018/19   UTANGULIZI Kwanza niwashukuru kwa kuitikia mwito wa kuzungumza nanyi ili kupitia kwenu tuweze pia kuzungumza na Watanzania. Pili, niwatakie Waislam na Watanzania kwa ...

Soma zaidi
5679
Layout Settings