Uchaguzi Mkuu 2020

ILANI YA CHADEMA 2020-2025

Pakua na na kusoma Ilani ya Chadema 2020-2025 hapa.

 

 

MUHTASARI WA ILANI 2020

Jipatie Muhtasari wa Ilani ya CHADEMA 2020

 

 

HABARI ZA UCHAGUZI MKUU JMT 2020

LISSU; MPANDA, KIGOMA; NITAKUWA RAIS WA KATIBA MPYA, KIGOMA ONGOZENI MAPAMBANO
20Sep
0

LISSU; MPANDA, KIGOMA; NITAKUWA RAIS WA KATIBA MPYA, KIGOMA ONGOZENI MAPAMBANO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu amesema kuwa ili kuharakisha utekelezaji wa agenda kuu za Chadema katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, zilizomo katika kauli mbiu ...

Soma zaidi
LISSU IRINGA; MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE
14Sep
0

LISSU IRINGA; MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE

Soma zaidi
Mhe. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni kwa Kanda za Unguja na Pemba
07Sep
0

Mhe. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni kwa Kanda za Unguja na Pemba

1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni kwa Kanda za Unguja na Pemba, uliofanyika leo Septemba 7, 2020, katika Uwanja wa Kibandamaiti, Zanzibar. 2. Mgombea Urais ...

Soma zaidi
Risasi 16 - Kamwe Hatutasahau!
07Sep
0

Risasi 16 - Kamwe Hatutasahau!

Soma zaidi
Mh Lissu akidhuru Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa
06Sep
0

Mh Lissu akidhuru Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa

1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Nyasa (Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa) uliofanyika leo Jumamosi, Septemba 5, 2020, katika Uwanja ...

Soma zaidi
Mhe. Tundu Lissu ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe, mkoani Mbeya
04Sep
0

Mhe. Tundu Lissu ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe, mkoani Mbeya

Msafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe, mkoani Mbeya, mchana wa leo kuelekea Uwanja wa Rwandanzovwe, Mbeya mjini. Soma zaidi

Mh Lissu Mkoani Tabora
03Sep
0

Mh Lissu Mkoani Tabora

1. Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, aliyeambatana na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, ukiingia na kupokelewa katika Uwanja wa Chipukizi, mjini ...

Soma zaidi
Mhe. Tundu Lissu Azindua Kampeni Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu)
02Sep
0

Mhe. Tundu Lissu Azindua Kampeni Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu)

Picha mbalimbali zikionesha Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu) uliofanyika leo Septemba 2, 2020, katika Uwanja wa ...

Soma zaidi
Mh. Lissu Kahama na Shinyanga Leo
02Sep
0

Mh. Lissu Kahama na Shinyanga Leo

Picha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa Tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu tangu alipotua Uwanja wa Ndege wa Kahama leo asubuhi. Kisha kuanza safari ya kuelekea Shinyanga mjini ambapo alilazimika kusimama mara kadhaa sehemu mbalimbali kuwasalimia mamia ...

Soma zaidi
Mapokezi ya Mh Lissu jijini Mwanza
01Sep
0

Mapokezi ya Mh Lissu jijini Mwanza

Picha za matukio mbalimbali zikionesha mapokezi makubwa ya Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu akiingia Jiji la Mwanza kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimafaifa wa Mwanza kuelekea Uwanja wa Furahisha, leo Septemba 1, 2020. Soma zaidi

Mhe. Tundu Lissu katika kampeni Kanda ya Kaskazini,
31Aug
0

Mhe. Tundu Lissu katika kampeni Kanda ya Kaskazini,

Picha za uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 31, 2020, katika Uwanja wa Relini, ...

Soma zaidi
Mh Lissu akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam leo kuelekea Mkutanoni.
29Aug
1

Mh Lissu akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam leo kuelekea Mkutanoni.

Picha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, alipokuwa akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kutokea nyumbani kwake Tegeta kuelekea Uwanja wa Tanganyika Parkers kwenye ...

Soma zaidi
Chadema yazindua Kampeni Uwanja wa Zakhiem, Mbagala, jijini Dar es Salaam
28Aug
1

Chadema yazindua Kampeni Uwanja wa Zakhiem, Mbagala, jijini Dar es Salaam

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Antiphas Lissu akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni Ijumaa, Agosti 28, 2020, katika Uwanja wa Zakhiem, Mbagala, jijini Dar es Salaam. [caption id="attachment_2326" align="aligncenter" width="1080"]Soma zaidi

Mhe Lissu na Mgombea Mwenza Mh Mwalim wakiwa Njombe
20Aug
0

Mhe Lissu na Mgombea Mwenza Mh Mwalim wakiwa Njombe

Mhe Lissu na Mgombea Mwenza Mh Mwalim wakiwa Njombe Soma zaidi

Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini
18Aug
0

Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini

Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020. [caption id="attachment_2310" align="aligncenter" width="1024"]Soma zaidi

18Aug
0

Mapokezi ya Mhe Lissu Arusha

Mapokezi ya Mhe Lissu Arusha Soma zaidi

12Aug
0

Mhe Lissu na Mhe Mwalim awakizungumza na Wananchi wa Tarime/Bunda /Mara/Musoma

Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim wakizungumza na Wananchi wa Wilaya Ya Tarime waliofika kwa ajili ya kumdhamini. #SasaBasi #PeoplesPower #NoHateNoFear Soma zaidi

Mhe. Tundu Lissu azungumza na Wananchi wa Jimbo Shinyanga mjini
11Aug
0

Mhe. Tundu Lissu azungumza na Wananchi wa Jimbo Shinyanga mjini

Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akizungumza na Wananchi wa Jimbo Shinyanga mjini waliofika kwa ajili ya kumdhamini. #NiYeye2020 #SasaBasi #PeoplesPower Soma zaidi

Mh. Lissu - Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba.
11Aug
0

Mh. Lissu - Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba.

Soma zaidi
Mhe. Tundu Lissu pamoja na Mgombea Mwenza, Mhe. Salum Juma Mwalim Singida Leo
10Aug
0

Mhe. Tundu Lissu pamoja na Mgombea Mwenza, Mhe. Salum Juma Mwalim Singida Leo

[caption id="attachment_2267" align="aligncenter" width="1080"]Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu pamoja na Mgombea Mwenza, Mhe. Salum Juma Mwalim, wakiwa Jimbo la Singida Kaskazini, leo Jumatatu, Agosti 10, ...</p><a href=Soma zaidi

1 2
Share Button
Layout Settings