Leo Jumatatu Aprili 11, 2022 Mwenyekiti wa (CHADEMA) Taifa Mhe. Freeman Mbowe amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi Donald J. Wright kwenye Makazi rasmi ya Balozi, Oysterbay Dar es Salaam, Wamejadiliana kwa kina umuhimu wa kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia ...
Soma zaidiCategory Archives: Habari Matukio
Home / Habari Matukio /
1. Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, aliyeambatana na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, ukiingia na kupokelewa katika Uwanja wa Chipukizi, mjini ...
Soma zaidiPicha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, alipokuwa akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kutokea nyumbani kwake Tegeta kuelekea Uwanja wa Tanganyika Parkers kwenye ...
Soma zaidiMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Antiphas Lissu akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni Ijumaa, Agosti 28, 2020, katika Uwanja wa Zakhiem, Mbagala, jijini Dar es Salaam. . #Mbagala #NiYeye2020 #TunduLissu2020
Soma zaidiMgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akizungumza na Wananchi wa Jimbo Shinyanga mjini waliofika kwa ajili ya kumdhamini. #NiYeye2020 #SasaBasi #PeoplesPower
Soma zaidiTAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) kimeendelea kupokea kwa masikitiko makubwa misiba ya Wabunge na Watanzania wengine inayosababishwa na kusambaa kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19. Kama ambavyo tumeshauri mara kadhaa, ni dhahiri hatua za ziada za ...
Soma zaidi1.0 Utangulizi: COVID 19 (Corona Virus Disease of 2019) ni ugonjwa usio na tiba unaoitesa dunia kitabibu, kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ni mlipuko wa ugonjwa unaosambaa kwa kasi na unaoua binadamu bila kujali mipaka ya nchi, rangi ya binadamu, ...
Soma zaidiTAARIFA YA WAZIRI KIVULI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UGONJWAWA COVID-19 NCHINI
Soma zaidiTafuta
Zilizozomwa zaidi
-
-
IDU YAITAKA TANZANIA KURUDISHA HARAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
by Remsi Kassanda July 19, 2023 8:18 am -
TAARIFA KWA UMMA
by Chadema Digital July 3, 2022 2:44 pm