Author Archives: Chadema Media

21 Jun
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mnamo Juni 18, mwaka huu, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kinyume kabisa na Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Mwaka 2016, Kanuni ya 99 fasili ya 5, lilizuia kuwasilishwa mezani kwa Hotuba ya Bajeti Mbadala ya Kambi ...

Soma zaidi
21 Jun
0

KWA KAULI YA DKT. MWAKYEMBE, SERIKALI IONESHE MFANO ISIFUNGIE TENA CHOMBO CHA HABARI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KWA KAULI YA DKT. MWAKYEMBE, SERIKALI IONESHE MFANO ISIFUNGIE TENA CHOMBO CHA HABARI Kupitia kwa Waziri wa Habari, Michezo, Utamaduni na Sanaa, Dkt. Harrison Mwakyembe leo bungeni, serikali ya awamu ya tano imedhihirisha wazi imekuwa ...

Soma zaidi
04 Jun
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kutoa taarifa ya kulaani na kupinga ukiukwaji wa Katiba, Sheria na Kanuni mbalimbali uliofanywa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bwana Gerson Msigwa tarehe 21 na 25 Mei, 2018 ambapo kwa kujua au kutojua ...

Soma zaidi
27 May
0

TANZIA: RATIBA YA KUAGA NA MAZIKO YA MHE.KASUKU BILAGO MBUNGE WA JIMBO LA BUYUNGU, MKOA WA KIGOMA

Tunautangazia umma kuhusu ratiba ya kuaga na mazishi ya Mbunge wa Buyungu Mhe.Kasuku Bilago ambaye pia alikuwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Chama Kanda ya Magharibi yenye Mikoa ya Kigoma,Katavi na Tabora. Kwa upande wa ...

Soma zaidi
04 May
0

UHURU WA HABARI NI DEMOKRASIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA UHURU WA HABARI NI DEMOKRASIA Wakati dunia ikiazimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani, ambayo huadhimishwa tarehe 3 Mei ya kila mwaka, huku zikiwepo nchi ambazo zimeendelea kunufaika na matokeo ya kuimarisha uhuru ...

Soma zaidi
21 Apr
0

RAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA uweze KUJISITIRI!

Anaandika HALIMA MDEE (MB) :  RAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA uweze KUJISITIRI! NDUGU RAIS naona Trillion 1.5 imekutoa mafichoni, CAG  ameivua nguo SERIKALI yako! CHUTAMA uweze kujisitiri !! USITISHE WATU! Nasema na wewe  nikiwa nina kumbukumbu ya kukamatwa na vyombo ...

Soma zaidi
19 Apr
0

TAMKO: Tunalaani kwa nguvu zote udhalilishaji huu unaofanywa dhidi yetu.

Baraza la Wazee Taifa la CHADEMA lilianza ziara ya kukutana na Wazee kwenye Vikao vya Ndani jana tarehe 16.04.2018 na walianzia Mkoa wa Morogoro.     Jambo la kusikitisha ni kuwa jana usiku Polisi walivamia walikokuwa wamelala Viongozi na kuwakamata baadhi yao ...

Soma zaidi
01 Apr
0

Salamu za Pasaka

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinawatakia Wananchi wote Heri ya Siku Kuu ya Pasaka, Pasaka Njema 2018.

Soma zaidi
01 Apr
0

Mhe. Godbless Lema amnyooshe kidole Kapilimba Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa

Mhe. Godbless Lema amemtaka Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa kuacha kukitetea Chama cha Mapinduzi CCM na badala yake walinde usalama wa Nchi na Mali zake.

Soma zaidi
01 Apr
0

Hatuogopi kufa na Chadema haitakufa – Bavicha

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa(Bavicha), Patric Sosopi amesema kuwa wanaijua mikakati inayopangwa juu ya kuifuta chadema . Sosopi ameeleza kuwa chama hicho kiko imara na hakitakufa .

Soma zaidi
4569
Layout Settings