Watanzania wanataka mabadiliko. Wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM..
.
Home / Bavicha / Hatuogopi kufa na Chadema haitakufa – Bavicha
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa(Bavicha), Patric Sosopi amesema kuwa wanaijua mikakati inayopangwa juu ya kuifuta chadema . Sosopi ameeleza kuwa chama hicho kiko imara na hakitakufa .