Watanzania wanataka mabadiliko. Wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM..
.
Home / Chadema TV / Habari / Mhe. Godbless Lema amnyooshe kidole Kapilimba Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa
Mhe. Godbless Lema amemtaka Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa kuacha kukitetea Chama cha Mapinduzi CCM na badala yake walinde usalama wa Nchi na Mali zake.