Author Archives: Chadema Media

18 Jun
0

Bajeti Kuu Mbadala 2019

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020 Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za ...

Soma zaidi
18 Jun
0

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020 Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za ...

Soma zaidi
18 Jun
0

KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK) Baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pia kwa kushirikiana na vyama vingine washirika, kuibana mara kadhaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ...

Soma zaidi
04 Jun
0

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NJE, USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA, MHESHIMIWA ESTHER NICHOLAS MATIKO (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA HIYO, KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NJE, USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA, MHESHIMIWA ESTHER NICHOLAS MATIKO (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA  WIZARA ...

Soma zaidi
04 Jun
0

NEC IJINASUE KATIKA TUHUMA ZA KUHARIBU NA KUVURUGA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA NEC IJINASUE KATIKA TUHUMA ZA KUHARIBU NA KUVURUGA UCHAGUZI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiwa sehemu ya wadau wa uchaguzi nchini kinaitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza hadharani kwa umma ...

Soma zaidi
04 Jun
0

MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA PETER SIMON MSIGWA (MB) KUHUSU UTEKELEZAJI WA BAJETI

MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA PETER SIMON MSIGWA (MB) KUHUSU UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA 2018/19 NA MPANGO WA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA MWAKA WA FEDHA ...

Soma zaidi
04 Jun
0

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA PASCAL YOHANA HAONGA (MB) WIZARA YA KILIMO

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA PASCAL YOHANA HAONGA (MB) WIZARA YA KILIMO, KUHUSU UTEKELEZAJI MPANGO WA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA ...

Soma zaidi
16 May
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

Kumekuwa na taarifa zinazosambaa katika njia mbalimbali za upashanaji habari mitandaoni na baadae kwenye vyombo vya habari tangu asubuhi ya leo kuhusu kile kinachoonekana kuwa ni sintofahamu kubwa inayoendelea katika Bunge la Afrika (PAP) ambako taarifa zimedai kuwa Rais wa ...

Soma zaidi
13 May
0

BAADA YA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU, MASUALA SABA YA MUHIMU; UCHAGUZI HURU NA HAKI NCHINI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU: BAADA YA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU, MASUALA SABA YA MUHIMU; UCHAGUZI HURU NA HAKI NCHINI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepanua wigo wa mjadala wa uhitaji wa taasisi na mifumo itakayohakikisha ...

Soma zaidi
16 Jan
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) tumepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za tukio la shambulizi linalohusishwa na ugaidi, lililofanyika kwenye eneo lenye shughuli mbalimbali za kijamii, ...

Soma zaidi
34569
Layout Settings