Kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabili viongonzi wakuu na Wabunge saba wa CHADEMA imeendelea katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu leo 10/7/2018 kwa kuanza kwa kusomwa kwa mwenendo wa kesi hiyo, Hakimu anayesimamia kesi hiyo hakimu Willibard Mashauri alisoma ...
Soma zaidiCategory Archives: Habari
Home / Habari / Habari Matukio / Habari Picha / Matamko /
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe. Kikao hicho pamoja na masuala mengine, kitapokea taarifa za ...
Soma zaidiHOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO MHE. DAVID SILINDE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA ...
Soma zaidiMTAZAMO WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2018/19
MTAZAMO WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2018/19 UTANGULIZI Kwanza niwashukuru kwa kuitikia mwito wa kuzungumza nanyi ili kupitia kwenu tuweze pia kuzungumza na Watanzania. Pili, niwatakie Waislam na Watanzania kwa ...
Soma zaidiChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kutoa taarifa ya kulaani na kupinga ukiukwaji wa Katiba, Sheria na Kanuni mbalimbali uliofanywa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bwana Gerson Msigwa tarehe 21 na 25 Mei, 2018 ambapo kwa kujua au kutojua ...
Soma zaidiTunautangazia umma kuhusu ratiba ya kuaga na mazishi ya Mbunge wa Buyungu Mhe.Kasuku Bilago ambaye pia alikuwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Chama Kanda ya Magharibi yenye Mikoa ya Kigoma,Katavi na Tabora. Kwa upande wa ...
Soma zaidiTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA UHURU WA HABARI NI DEMOKRASIA Wakati dunia ikiazimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani, ambayo huadhimishwa tarehe 3 Mei ya kila mwaka, huku zikiwepo nchi ambazo zimeendelea kunufaika na matokeo ya kuimarisha uhuru ...
Soma zaidiRAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA uweze KUJISITIRI!
Anaandika HALIMA MDEE (MB) : RAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA uweze KUJISITIRI! NDUGU RAIS naona Trillion 1.5 imekutoa mafichoni, CAG ameivua nguo SERIKALI yako! CHUTAMA uweze kujisitiri !! USITISHE WATU! Nasema na wewe nikiwa nina kumbukumbu ya kukamatwa na vyombo ...
Soma zaidiBaraza la Wazee Taifa la CHADEMA lilianza ziara ya kukutana na Wazee kwenye Vikao vya Ndani jana tarehe 16.04.2018 na walianzia Mkoa wa Morogoro. Jambo la kusikitisha ni kuwa jana usiku Polisi walivamia walikokuwa wamelala Viongozi na kuwakamata baadhi yao ...
Soma zaidiTafuta
Zilizozomwa zaidi
-
USAILI NA UTEUZI WA WAGOMBEA.
by Remsi Kassanda May 17, 2024 10:25 am -
AZIMIO LA MTWARA
by Remsi Kassanda March 6, 2024 8:02 pm -
WITO WA DHARURA KUHUSU KITITA KIPYA CHA NHIF
by Remsi Kassanda March 1, 2024 2:04 pm