ZIARA YA MWANASHERIA MKUU TUNDU LISSU (MB) ULAYA NA MAREKANI Mwanasheria Mkuu wa Chama Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika nchi mbili za Ulaya na Marekani kuanzia Jumatatu, Januari 28, mwaka huu, ambako mbali ya kufanya vikao ...
Soma zaidiAuthor Archives: Chadema Makao Makuu 2
TARIME NI WATU MAJASIRI, TUMIENI UJASIRI HUO KUDAI HAKI ZENU NA DEMOKRASIA YA TAIFA LETU-MBOWE . Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana tarehe 22 Octoba 2018 aliongoza kikao cha ndani cha Mkutano mkuu wa chama katika ...
Soma zaidiMHE. GODBLES LEMA AITAKA SERIKALI KURUHUSI WACHUNGUZI WA KIMATAIFA
Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Goodbles Lema mamepma leo amitaka Serikali kuruhusu wachunguzi kutoka nje na kwa kufanya hivyo kutaiondolea Serikali lawama juu ya kutekwa kwa mfanjabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ Lema aliyasema ...
Soma zaidiTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu waandishi, Zipo taarifa potofu zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Aikaeli Mbowe na Katibu Mkuu Dr.Vincent Mashinji wametofautiana kwenye kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika nyumbani kwa Mwenyekiti mwishoni mwa ...
Soma zaidiFOMU NO 5E KATIBU – CHAMA FOMU NO 5E(i) KATIBU-WAZEE FOMU NO 5E(ii) KATIBU – BAWACHA FOMU NO 5E(iii) KATIBU – BAVICHA FOMU NO 6E – CHAMA FOMU NO 6E (i) – WAZEE FOMU ...
Soma zaidiMWENYEKITI CHADEMA TAIFA KUOINGOZA UZINDUZI WA SERA YA CHADEMA TOLEO LA 2018
Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akizindua Sera ya CHADEMA toleo la Mwaka 2018, ghafla hiyo ya uzinduzi ilihudhuriwa na taasisi mbalimbali za Kiserikali na Mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya Nchi. Akiongea na wageni waalikwa Mhe. Freeman Mbowe ...
Soma zaidiNaibu Katibu Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Kibamba Mhe. John Mnyika akiwa amefatana na Mgombea Ubunge Jimbo la Buyungu pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama kwenye uzinduzi wa kampeni ulifanyika Kata ya Kasnada yenye vijiji vinne huku vijiji vitatu ...
Soma zaidiKesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabili viongonzi wakuu na Wabunge saba wa CHADEMA imeendelea katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu leo 10/7/2018 kwa kuanza kwa kusomwa kwa mwenendo wa kesi hiyo, Hakimu anayesimamia kesi hiyo hakimu Willibard Mashauri alisoma ...
Soma zaidiKamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe. Kikao hicho pamoja na masuala mengine, kitapokea taarifa za ...
Soma zaidiHOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO MHE. DAVID SILINDE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA ...
Soma zaidi