Category Archives: Press Release

02 Apr
0

Baraza la Uongozi kanda ya Magharibi kuketi Aprili 7 mwaka huu Kigoma

Soma zaidi
14 Sep
0

LISSU IRINGA; MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE

Soma zaidi
Lissu
10 Aug
0

MHE. TUNDU LISSU AFANYA IBADA YA SHUKRANI KANISANI

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu, ameahidi kutompitisha mtu yeyote katika maumivu makali ya majeraha mithili ya yale aliyoyapitia yeye baada ya kunusurika shambulio lililolenga kukatisha ...

Soma zaidi
18 Jan
0

Taarifa kwa vyombo vya Habari – Kuhusu Vitambulisho NIDA

Taarifa kwa vyombo vya Habari – Kuhusu Vitambulisho NIDA

Soma zaidi
12 Nov
0

Taarifa kwa Vyombo vya Habari – 10 Nov, 2019

Taarifa kwa Vyombo vya Habari – 10 Nov, 2019

Soma zaidi
19 Jun
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kushangazwa na kitendo cha Naibu Spika wa Bunge, Ndugu Tulia Ackson, kushindwa kuchukua hatua dhidi ya kitendo cha udhalilishaji ...

Soma zaidi
18 Jun
0

KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK) Baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pia kwa kushirikiana na vyama vingine washirika, kuibana mara kadhaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ...

Soma zaidi
04 Jun
0

NEC IJINASUE KATIKA TUHUMA ZA KUHARIBU NA KUVURUGA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA NEC IJINASUE KATIKA TUHUMA ZA KUHARIBU NA KUVURUGA UCHAGUZI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiwa sehemu ya wadau wa uchaguzi nchini kinaitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza hadharani kwa umma ...

Soma zaidi
16 May
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

Kumekuwa na taarifa zinazosambaa katika njia mbalimbali za upashanaji habari mitandaoni na baadae kwenye vyombo vya habari tangu asubuhi ya leo kuhusu kile kinachoonekana kuwa ni sintofahamu kubwa inayoendelea katika Bunge la Afrika (PAP) ambako taarifa zimedai kuwa Rais wa ...

Soma zaidi
13 May
0

BAADA YA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU, MASUALA SABA YA MUHIMU; UCHAGUZI HURU NA HAKI NCHINI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU: BAADA YA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU, MASUALA SABA YA MUHIMU; UCHAGUZI HURU NA HAKI NCHINI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepanua wigo wa mjadala wa uhitaji wa taasisi na mifumo itakayohakikisha ...

Soma zaidi
12
Layout Settings