Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinawatakia Wananchi wote Heri ya Siku Kuu ya Pasaka, Pasaka Njema 2018.
Soma zaidiCategory Archives: Habari
Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe ameeleza kuwa taarifa siku nne kabla ya Mbunge wa Mbeya Mjini na Katibu wa Kanda ya Nyasa kuhukumiwa miezi mitano na zoezi hilo limearitibwa na Usalama wa Taifa na Mkuuwa Mkoa wa Mbeya.
Soma zaidiSerikali haiumii kwamba raia wake amepoteza maisha inawaza imetumia pesa nyingi kumgharimia mwanafunzi Akwilina kwamba alikuwa mnufaika wa mkopo, Sisi CHADEMA tunalaani mauaji ya mwanafunzi Akwilina mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).Kwenye press hii anazungumza Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itifaki ...
Soma zaidi