Category Archives: Habari
Home / Habari Picha /
Leo Jumatatu Aprili 11, 2022 Mwenyekiti wa (CHADEMA) Taifa Mhe. Freeman Mbowe amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi Donald J. Wright kwenye Makazi rasmi ya Balozi, Oysterbay Dar es Salaam, Wamejadiliana kwa kina umuhimu wa kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia ...
Soma zaidiMwenyekiti wa (CHADEMA) Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe leo Jumatano Machi 30, 2022 amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC Kenya Jijini Nairobi. Kupitia kwao, ...
Soma zaidiMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Aikael Mbowe akiwa ameambatana na Mke wake Dkt. Lillian Mbowe wameweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Johari Mtei na Baba yake mdogo , marehemu Manase Mbowe, waliofariki akiwa ...
Soma zaidiMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe: Freeman Mbowe leo Jumatatu Machi 21, 2022 amemtembelea Muasisi wa Chama Mzee Edwin Mtei nyumbani kwake Tengeru, Arusha kumpa pole Kwa kufiwa na Mkewe wakati akiwa Gerezani.
Soma zaidi1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni kwa Kanda za Unguja na Pemba, uliofanyika leo Septemba 7, 2020, katika Uwanja wa Kibandamaiti, Zanzibar. 2. Mgombea ...
Soma zaidi1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Nyasa (Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa) uliofanyika leo Jumamosi, Septemba 5, 2020, katika Uwanja ...
Soma zaidiMsafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe, mkoani Mbeya, mchana wa leo kuelekea Uwanja wa Rwandanzovwe, Mbeya mjini.
Soma zaidi1. Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, aliyeambatana na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, ukiingia na kupokelewa katika Uwanja wa Chipukizi, mjini ...
Soma zaidiTafuta
Zilizozomwa zaidi
-
-
IDU YAITAKA TANZANIA KURUDISHA HARAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
by Remsi Kassanda July 19, 2023 8:18 am -
TAARIFA KWA UMMA
by Chadema Digital July 3, 2022 2:44 pm