USAILI NA UTEUZI WA WAGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI ULIOFANYWA NA KAMATI KUU YA CHAMA . Kamati Kuu ya Chama ilifanya kikao chake kuanzia tarehe 11-14 Mei,2024 kilichofanyika ofisi za Makao Makuu Mikocheni, Jijini Dar Es salaam. 1. Usaili na ...
Soma zaidiAuthor Archives:
1. UTANGULIZI SISI WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) AMBAO MAJINA YETU YAMEAMBATANISHWA HAPA CHINI, tuliokutana hapa Mtwara kati ya tarehe 4 hadi 6 Machi, 2024, kwa niaba ya Wanachama, wafuasi wanaotuunga mkono na kwa ...
Soma zaidiBUNGE LA WANANCHI, KAMATI YA AFYA NA MAENDELEO YA JAMII WITO WA DHARURA KUHUSU KITITA KIPYA CHA NHIF NA HATUA ZA AWALI ZINAZOPASWA KUCHUKULIWA NA SERIKALI ILI KUNUSURU WANANCHI 1. Bunge la Wananchi limepokea kwa tahadhari kubwa taarifa za mgogoro ...
Soma zaidiChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Hayati Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichotokea jana Februari 29, 2024 jijini Dar es salaam. ...
Soma zaidiMDAHALO BAINA YA CHADEMA NA CCM Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka Katibu ...
Soma zaidiJuzi siku ya Jumamosi tarehe 22 Julai, 2023 majira ya jioni katika viwanja vya Bulyaga Wilaya ya Temeke, Jijini Dar Es salaam ambako kulikuwa na maandalizi ya mkutano wa hadhara uliofanyka jana Jumapili tarehe 23 Julai, 2023 ambao umeandaliwa na ...
Soma zaidi