Category Archives: Chadema TV

27 Jan
0

ZIARA YA MWANASHERIA MKUU TUNDU LISSU (MB) ULAYA NA MAREKANI

ZIARA YA MWANASHERIA MKUU TUNDU LISSU (MB) ULAYA NA MAREKANI Mwanasheria Mkuu wa Chama Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika nchi mbili za Ulaya na Marekani kuanzia Jumatatu, Januari 28, mwaka huu, ambako mbali ya kufanya vikao ...

Soma zaidi
28 Sep
0

ILI KUPATA KUPAKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA CHAMA MKOA DAR ES SALAAM

FOMU NO 5E KATIBU – CHAMA   FOMU NO 5E(i) KATIBU-WAZEE   FOMU NO 5E(ii) KATIBU – BAWACHA   FOMU NO 5E(iii) KATIBU – BAVICHA   FOMU NO 6E – CHAMA   FOMU NO 6E (i) – WAZEE   FOMU ...

Soma zaidi
28 Sep
0

MWENYEKITI CHADEMA TAIFA KUOINGOZA UZINDUZI WA SERA YA CHADEMA TOLEO LA 2018

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akizindua Sera ya CHADEMA toleo la Mwaka 2018, ghafla hiyo ya uzinduzi ilihudhuriwa na taasisi mbalimbali za Kiserikali na Mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya Nchi. Akiongea na wageni waalikwa Mhe. Freeman Mbowe ...

Soma zaidi
17 Jun
0

BAJETI 2016/17 NA 2017/18 NI BAJETI HEWA

Soma zaidi
01 Apr
0

Mhe. Godbless Lema amnyooshe kidole Kapilimba Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa

Mhe. Godbless Lema amemtaka Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa kuacha kukitetea Chama cha Mapinduzi CCM na badala yake walinde usalama wa Nchi na Mali zake.

Soma zaidi
01 Mar
0

Mbowe: Tulipata taarifa kuwa Mbunge Sugu na Emanuele Masonga watafungwa

Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe ameeleza kuwa taarifa siku nne kabla ya Mbunge wa Mbeya Mjini na Katibu wa Kanda ya Nyasa kuhukumiwa miezi mitano na zoezi hilo limearitibwa na Usalama wa Taifa na Mkuuwa Mkoa wa Mbeya.

Soma zaidi
01 Mar
0

Video: Kabla Polisi Hawajatawanya Mkusanyiko Hutakiwa Kutoa Ilani Mara 3.

Serikali haiumii kwamba raia wake amepoteza maisha inawaza imetumia pesa nyingi kumgharimia mwanafunzi Akwilina kwamba alikuwa mnufaika wa mkopo, Sisi CHADEMA tunalaani mauaji ya mwanafunzi Akwilina mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).Kwenye press hii anazungumza Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itifaki ...

Soma zaidi
Layout Settings