Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu amesema kuwa ili kuharakisha utekelezaji wa agenda kuu za Chadema katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, zilizomo katika kauli mbiu ...
Soma zaidiUchaguzi Mkuu 2020
Home / Uchaguzi Mkuu 2020
ILANI YA CHADEMA 2020-2025
Pakua na na kusoma Ilani ya Chadema 2020-2025 hapa.
MUHTASARI WA ILANI 2020
Jipatie Muhtasari wa Ilani ya CHADEMA 2020
HABARI ZA UCHAGUZI MKUU JMT 2020
Mhe. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni kwa Kanda za Unguja na Pemba
1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni kwa Kanda za Unguja na Pemba, uliofanyika leo Septemba 7, 2020, katika Uwanja wa Kibandamaiti, Zanzibar. 2. Mgombea Urais ...
Soma zaidiRisasi 16 - Kamwe Hatutasahau!
Mh Lissu akidhuru Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa
1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Nyasa (Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa) uliofanyika leo Jumamosi, Septemba 5, 2020, katika Uwanja ...
Soma zaidiMhe. Tundu Lissu ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe, mkoani Mbeya
Msafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe, mkoani Mbeya, mchana wa leo kuelekea Uwanja wa Rwandanzovwe, Mbeya mjini.
Soma zaidi
Mh Lissu Mkoani Tabora
1. Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, aliyeambatana na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, ukiingia na kupokelewa katika Uwanja wa Chipukizi, mjini ...
Soma zaidiMhe. Tundu Lissu Azindua Kampeni Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu)
Picha mbalimbali zikionesha Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu) uliofanyika leo Septemba 2, 2020, katika Uwanja wa ...
Soma zaidiMh. Lissu Kahama na Shinyanga Leo
Picha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa Tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu tangu alipotua Uwanja wa Ndege wa Kahama leo asubuhi. Kisha kuanza safari ya kuelekea Shinyanga mjini ambapo alilazimika kusimama mara kadhaa sehemu mbalimbali kuwasalimia mamia ...
Soma zaidiMapokezi ya Mh Lissu jijini Mwanza
Picha za matukio mbalimbali zikionesha mapokezi makubwa ya Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu akiingia Jiji la Mwanza kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimafaifa wa Mwanza kuelekea Uwanja wa Furahisha, leo Septemba 1, 2020.
Soma zaidi
Mhe. Tundu Lissu katika kampeni Kanda ya Kaskazini,
Picha za uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 31, 2020, katika Uwanja wa Relini, ...
Soma zaidiMh Lissu akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam leo kuelekea Mkutanoni.
Picha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, alipokuwa akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kutokea nyumbani kwake Tegeta kuelekea Uwanja wa Tanganyika Parkers kwenye ...
Soma zaidiChadema yazindua Kampeni Uwanja wa Zakhiem, Mbagala, jijini Dar es Salaam
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Antiphas Lissu akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni Ijumaa, Agosti 28, 2020, katika Uwanja wa Zakhiem, Mbagala, jijini Dar es Salaam.
[caption id="attachment_2326" align="aligncenter" width="1080"]Soma zaidi
Mhe Lissu na Mgombea Mwenza Mh Mwalim wakiwa Njombe
Mhe Lissu na Mgombea Mwenza Mh Mwalim wakiwa Njombe
Soma zaidi
Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini
Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.
[caption id="attachment_2310" align="aligncenter" width="1024"]
Soma zaidi
Mapokezi ya Mhe Lissu Arusha
Mapokezi ya Mhe Lissu Arusha
Soma zaidi
Mhe Lissu na Mhe Mwalim awakizungumza na Wananchi wa Tarime/Bunda /Mara/Musoma
Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim wakizungumza na Wananchi wa Wilaya Ya Tarime waliofika kwa ajili ya kumdhamini. #SasaBasi #PeoplesPower
#NoHateNoFear
Soma zaidi
Mhe. Tundu Lissu azungumza na Wananchi wa Jimbo Shinyanga mjini
Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akizungumza na Wananchi wa Jimbo Shinyanga mjini waliofika kwa ajili ya kumdhamini. #NiYeye2020 #SasaBasi #PeoplesPower
Soma zaidi
Mh. Lissu - Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba.
Mhe. Tundu Lissu pamoja na Mgombea Mwenza, Mhe. Salum Juma Mwalim Singida Leo
[caption id="attachment_2267" align="aligncenter" width="1080"]Soma zaidi