Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa BAWACHA Mhe. Sharifa Suleiman pamoja na viongozi wa Baraza hilo Mkoa wa Kigoma leo Juni 21, 2022 wamealikwa kwenye Madrasaya kina Mama jimbo la Kigoma Mjini Kata ya Gungu na kulakiwa na Mwenyekiti ...
Soma zaidiCategory Archives: Bawacha
Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum. Ukiondoa kundi dogo sana, tena tuliloliamini lakini likakiasi Chama kwa vipande vya fedha, Wanawake mmekuwa nguzo ...
Soma zaidiMwenyekiti wa Baraza la Wanake Chadema Mhe. Halima James Mdee akiangalia kazi za mikono zinazofanywa na akina mama wajasiriamali wadogo wadogo siku ya maazimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo BAWACHA wailiazimisha kitaifa Jijini Mbeya. Akiongea na akina mama mbalimbali waliojitokeza ...
Soma zaidi