1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni kwa Kanda za Unguja na Pemba, uliofanyika leo Septemba 7, 2020, katika Uwanja wa Kibandamaiti, Zanzibar. 2. Mgombea ...
Soma zaidiCategory Archives: Habari
1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Nyasa (Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa) uliofanyika leo Jumamosi, Septemba 5, 2020, katika Uwanja ...
Soma zaidiMsafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe, mkoani Mbeya, mchana wa leo kuelekea Uwanja wa Rwandanzovwe, Mbeya mjini.
Soma zaidi1. Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, aliyeambatana na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, ukiingia na kupokelewa katika Uwanja wa Chipukizi, mjini ...
Soma zaidiPicha mbalimbali zikionesha Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu) uliofanyika leo Septemba 2, 2020, katika Uwanja wa ...
Soma zaidiPicha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa Tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu tangu alipotua Uwanja wa Ndege wa Kahama leo asubuhi. Kisha kuanza safari ya kuelekea Shinyanga mjini ambapo alilazimika kusimama mara kadhaa sehemu mbalimbali kuwasalimia mamia ...
Soma zaidiPicha za matukio mbalimbali zikionesha mapokezi makubwa ya Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu akiingia Jiji la Mwanza kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimafaifa wa Mwanza kuelekea Uwanja wa Furahisha, leo Septemba 1, 2020.
Soma zaidiPicha za uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 31, 2020, katika Uwanja wa Relini, ...
Soma zaidiPicha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, alipokuwa akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kutokea nyumbani kwake Tegeta kuelekea Uwanja wa Tanganyika Parkers kwenye ...
Soma zaidiTafuta
Zilizozomwa zaidi
-
USAILI NA UTEUZI WA WAGOMBEA.
by Remsi Kassanda May 17, 2024 10:25 am -
AZIMIO LA MTWARA
by Remsi Kassanda March 6, 2024 8:02 pm -
WITO WA DHARURA KUHUSU KITITA KIPYA CHA NHIF
by Remsi Kassanda March 1, 2024 2:04 pm