Picha za uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 31, 2020, katika Uwanja wa Relini, jijini Arusha.

Share Button