Picha mbalimbali zikionesha Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, kwa Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu) uliofanyika leo Septemba 2, 2020, katika Uwanja wa Lubasha joshoni, Manispaa ya Shinyanga. Mbali ya Mgombea Urais Mhe. Tundu Lissu, wengine waliohutubia uzinduzi huo ni Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika.

Share Button