1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Nyasa (Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa) uliofanyika leo Jumamosi, Septemba 5, 2020, katika Uwanja wa Rwandanzovwe, jijini Mbeya.

2. Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Nyasa (Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa) uliofanyika leo Jumamosi, Septemba 5, 2020, katika Uwanja wa Rwandanzovwe, jijini Mbeya.