Category Archives: Uncategorized

01 Mar
0

WITO WA DHARURA KUHUSU KITITA KIPYA CHA NHIF

BUNGE LA WANANCHI, KAMATI YA AFYA NA MAENDELEO YA JAMII WITO WA DHARURA KUHUSU KITITA KIPYA CHA NHIF NA HATUA ZA AWALI ZINAZOPASWA KUCHUKULIWA NA SERIKALI ILI KUNUSURU WANANCHI 1. Bunge la Wananchi limepokea kwa tahadhari kubwa taarifa za mgogoro ...

Soma zaidi
24 Jul
0

TUNALAANI TUKIO LA KUPIGWA NA KUUMIZWA KWA WAANDISHI WA HABARI WA KAMPUNI YA MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD.

Juzi siku ya Jumamosi tarehe 22 Julai, 2023 majira ya jioni katika viwanja vya Bulyaga Wilaya ya Temeke, Jijini Dar Es salaam ambako kulikuwa na maandalizi ya mkutano wa hadhara uliofanyka jana Jumapili tarehe 23 Julai, 2023 ambao umeandaliwa na ...

Soma zaidi
17 Jun
0

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI MHESHIMIWA ZUBEDA HASSAN SAKURU (MB) WIZARA YA MAJI

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI MHESHIMIWA ZUBEDA HASSAN SAKURU (MB) WIZARA YA MAJI KUHUSU UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA 2019/20 PAMOJA NA MPANGO WA MAENDELEO NA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21  (Inatolewa chini ...

Soma zaidi
18 Jun
0

Bajeti Kuu Mbadala 2019

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020 Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za ...

Soma zaidi
04 Jun
0

MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA PETER SIMON MSIGWA (MB) KUHUSU UTEKELEZAJI WA BAJETI

MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA PETER SIMON MSIGWA (MB) KUHUSU UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA 2018/19 NA MPANGO WA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA MWAKA WA FEDHA ...

Soma zaidi
16 Jan
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) tumepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za tukio la shambulizi linalohusishwa na ugaidi, lililofanyika kwenye eneo lenye shughuli mbalimbali za kijamii, ...

Soma zaidi
16 Mar
0

BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA: TAARIFA ILIYOSOMWA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 13/03/2018

BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAARIFA ILIYOSOMWA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 13/03/2018   Ndugu wanahabari   Baada ya tafakuri ya kina kuhusu mwenendo wa hali ya kisiasa nchini na na kuona hatari kubwa inayoikabili nchi yetu, Baraza la ...

Soma zaidi
Layout Settings