Category Archives: Bavicha

03 Jul
0

TAARIFA KWA UMMA

  Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) limesikitishwa kuendelea kushikiliwa kwa Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Ndugu Twaha Mwaipaya na Jeshi la Polisi. Twaha Mwaipaya alikamatwa Juni 30, 2022 na Jeshi la Polisi Morogoro mjini, ambao kesho yake ya Julai Mosi, ...

Soma zaidi
27 Jan
0

ZIARA YA MWANASHERIA MKUU TUNDU LISSU (MB) ULAYA NA MAREKANI

ZIARA YA MWANASHERIA MKUU TUNDU LISSU (MB) ULAYA NA MAREKANI Mwanasheria Mkuu wa Chama Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika nchi mbili za Ulaya na Marekani kuanzia Jumatatu, Januari 28, mwaka huu, ambako mbali ya kufanya vikao ...

Soma zaidi
23 Oct
0

TARIME NI WATU MAJASIRI, TUMIENI UJASIRI HUO KUDAI HAKI ZENU NA DEMOKRASIA YA TAIFA LETU-MBOWE .

TARIME NI WATU MAJASIRI, TUMIENI UJASIRI HUO KUDAI HAKI ZENU NA DEMOKRASIA YA TAIFA LETU-MBOWE .   Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana tarehe 22 Octoba 2018 aliongoza kikao cha ndani cha Mkutano mkuu wa chama katika ...

Soma zaidi
16 Oct
0

MHE. GODBLES LEMA AITAKA SERIKALI KURUHUSI WACHUNGUZI WA KIMATAIFA

Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Goodbles Lema mamepma leo amitaka Serikali kuruhusu wachunguzi kutoka nje na kwa kufanya hivyo kutaiondolea Serikali lawama juu ya kutekwa kwa mfanjabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ Lema aliyasema ...

Soma zaidi
15 Oct
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   Ndugu waandishi,  Zipo taarifa potofu zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Aikaeli Mbowe na Katibu Mkuu Dr.Vincent Mashinji wametofautiana kwenye kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika nyumbani kwa Mwenyekiti mwishoni mwa ...

Soma zaidi
28 Sep
0

ILI KUPATA KUPAKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA CHAMA MKOA DAR ES SALAAM

FOMU NO 5E KATIBU – CHAMA   FOMU NO 5E(i) KATIBU-WAZEE   FOMU NO 5E(ii) KATIBU – BAWACHA   FOMU NO 5E(iii) KATIBU – BAVICHA   FOMU NO 6E – CHAMA   FOMU NO 6E (i) – WAZEE   FOMU ...

Soma zaidi
28 Sep
0

MWENYEKITI CHADEMA TAIFA KUOINGOZA UZINDUZI WA SERA YA CHADEMA TOLEO LA 2018

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akizindua Sera ya CHADEMA toleo la Mwaka 2018, ghafla hiyo ya uzinduzi ilihudhuriwa na taasisi mbalimbali za Kiserikali na Mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya Nchi. Akiongea na wageni waalikwa Mhe. Freeman Mbowe ...

Soma zaidi
01 Apr
0

Hatuogopi kufa na Chadema haitakufa – Bavicha

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa(Bavicha), Patric Sosopi amesema kuwa wanaijua mikakati inayopangwa juu ya kuifuta chadema . Sosopi ameeleza kuwa chama hicho kiko imara na hakitakufa .

Soma zaidi
02 Mar
0

BAVICHA: RAIS MAGUFULI – NCHI YETU INAVIMBA!

BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA) TAARIFA KWA UMMA RAIS MAGUFULI – NCHI YETU INAVIMBA! Ndugu waandishi wa Habari, Kwanza tunawashukuru kwa kuitikia wito wetu siku hii ya leo. BAVICHA tumewaomba kukutana nanyi hapa, ili kueleza kile ambacho kinaendelea katika ...

Soma zaidi
02 Mar
0

RAIS JOHN MAGUFULI AJITOKEZE HADHARANI KUZUNGUMZIA AIBU HII

BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA) RAIS JOHN MAGUFULI AJITOKEZE HADHARANI KUZUNGUMZIA AIBU HII Ndugu wanahabari Mtakumbuka kuwa Chama kupitia uongozi wa juu, Ijumaa iliyopita, Agosti 21, mwaka huu kilitoa tamko kwa umma kupitia mkutano na waandishi wa habari kuhusu ...

Soma zaidi
12
Layout Settings