Category Archives: Habari

01 May
0

TAARIFA KWA UMMA

TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) kimeendelea kupokea kwa masikitiko makubwa misiba ya Wabunge na Watanzania wengine inayosababishwa na kusambaa kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19. Kama ambavyo tumeshauri mara kadhaa, ni dhahiri hatua za ziada za ...

Soma zaidi
01 May
0

MTAZAMO NA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU JANGA LA CORONA NA ATHARI KWA TAIFA

1.0 Utangulizi: COVID 19 (Corona Virus Disease of 2019) ni ugonjwa usio na tiba unaoitesa dunia kitabibu, kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ni mlipuko wa ugonjwa unaosambaa kwa kasi na unaoua binadamu bila kujali mipaka ya nchi, rangi ya binadamu, ...

Soma zaidi
14 Apr
0

TAARIFA YA WAZIRI KIVULI WA AFYA

TAARIFA YA WAZIRI KIVULI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UGONJWAWA COVID-19 NCHINI

Soma zaidi
14 Apr
0

IN RESPONSE TO THE GOVERNMENT OF TANZANIA ON THE CONTINUED CRACKDOWN ON DISSENT AND STILFING OF PUBLIC FREEDOMS IN TANZANIA

IN RESPONSE TO THE GOVERNMENT OF TANZANIA ON THE CONTINUED CRACKDOWN ON DISSENT AND STILFING OF PUBLIC FREEDOMS IN TANZANIA The government of the United Republic of Tanzania (GoT) issued a response to the statement made by the UN Human Rights ...

Soma zaidi
29 Jan
0

Katibu Mkuu wa Chama asisitiza haja ya Tume Huru, Uchaguzi Mkuu 2020

Soma zaidi
18 Jan
0

Taarifa kwa vyombo vya Habari – Kuhusu Vitambulisho NIDA

Taarifa kwa vyombo vya Habari – Kuhusu Vitambulisho NIDA

Soma zaidi
12 Nov
0

Taarifa kwa Vyombo vya Habari – 10 Nov, 2019

Taarifa kwa Vyombo vya Habari – 10 Nov, 2019

Soma zaidi
19 Jun
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kushangazwa na kitendo cha Naibu Spika wa Bunge, Ndugu Tulia Ackson, kushindwa kuchukua hatua dhidi ya kitendo cha udhalilishaji ...

Soma zaidi
18 Jun
0

KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK) Baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pia kwa kushirikiana na vyama vingine washirika, kuibana mara kadhaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ...

Soma zaidi
04 Jun
0

NEC IJINASUE KATIKA TUHUMA ZA KUHARIBU NA KUVURUGA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA NEC IJINASUE KATIKA TUHUMA ZA KUHARIBU NA KUVURUGA UCHAGUZI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiwa sehemu ya wadau wa uchaguzi nchini kinaitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza hadharani kwa umma ...

Soma zaidi
4569
Layout Settings