Author Archives: Chadema Media

01 Mar
0

Hotuba za Wasemaji Wakuu Bungeni – Bajeti 2017-18

HOTUBA ZA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WAKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI   KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA  MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA ...

Soma zaidi
01 Mar
0

Mbowe: Tulipata taarifa kuwa Mbunge Sugu na Emanuele Masonga watafungwa

Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe ameeleza kuwa taarifa siku nne kabla ya Mbunge wa Mbeya Mjini na Katibu wa Kanda ya Nyasa kuhukumiwa miezi mitano na zoezi hilo limearitibwa na Usalama wa Taifa na Mkuuwa Mkoa wa Mbeya.

Soma zaidi
01 Mar
0

Video: Kabla Polisi Hawajatawanya Mkusanyiko Hutakiwa Kutoa Ilani Mara 3.

Serikali haiumii kwamba raia wake amepoteza maisha inawaza imetumia pesa nyingi kumgharimia mwanafunzi Akwilina kwamba alikuwa mnufaika wa mkopo, Sisi CHADEMA tunalaani mauaji ya mwanafunzi Akwilina mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).Kwenye press hii anazungumza Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itifaki ...

Soma zaidi
01 Mar
0

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI (KUB), MHESHIMIWA FREEMAN AIKAELI MBOWE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018. Inatolewa chini ya Kanuni ya ...

Soma zaidi
01 Mar
0

TAARIFA YA UKAGUZI WA FEDHA ZA SERIKALI 2013/2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TAARIFA YA UKAGUZI WA FEDHA ZA SERIKALI 2013/2014 Upotevu wa shilingi trilioni 1.151 serikali kuu pekee hauvumiliki. Makusanyo yote yaliyotokana na kuongezeka kwa kodi 2013/14 yameyeyuka . Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea ...

Soma zaidi
01 Mar
0

HOJA YA KUMWONDOA MADARAKANI NAIBU SPIKA WA BUNGE, MHE. DKT. TULIA ACKSON MWANSASU (Mb)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA HOJA YA KUMWONDOA MADARAKANI NAIBU SPIKA WA BUNGE, MHE.  DKT. TULIA ACKSON MWANSASU (Mb) Ndugu wanahabari, tumewaita hapa kuwaomba muwape taarifa Watanzania kuwa kwa niaba ya wabunge wenzangu nakwa mujibu wa kanuni ya ...

Soma zaidi
01 Mar
0

MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAREHE 23-26 JULAI,2016

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAREHE 23-26 JULAI,2016 PRESS CONFERENCE YA TAREHE 27 JULAI,  2016 1.0 UTANGULIZI Kamati Kuu ya dharura ya Chama iliketi kuanzia tarehe 23-26 ...

Soma zaidi
01 Mar
0

MAONI NA MAPENDEKEZO KUHUSU SHERIA MPYA YA VYAMA VYA SIASA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MAONI NA MAPENDEKEZO KUHUSU SHERIA MPYA YA VYAMA VYA SIASA 1.0 UTANGULIZI Kwa kuwa, Ibara ya 20 ya Mkataba unaonzisha Umoja wa Mataifa unatoa haki ya kujumuika na inazuia ...

Soma zaidi
01 Mar
0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: SERIKALI YETU NA UVUNJWAJI WA KATIBA YA NCHI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SERIKALI YETU NA UVUNJWAJI WA KATIBA YA NCHI Ndugu wana Habari, napenda kutoa shukrani na pongezi zangu za dhati kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuhabarisha umma. Pia niwatakie ushindi watoto wetu wote wanaofanya mtihani wa ...

Soma zaidi
01 Mar
0

TAARIFA FUPI KWA WABUNGE KUHUSU HALI YA TAIFA KWA KIPINDI CHA JULAI HADI OCTOBA 2016.

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA FUPI KWA WABUNGE KUHUSU HALI YA TAIFA KWA  KIPINDI CHA JULAI HADI OCTOBA 2016. UTANGULIZI. Tathimini hii imefanyika katika kipindi ambacho serikali ya awamu ya tano imeanza utekelezaji wa bajeti yake ya kwanza ...

Soma zaidi
6789
Layout Settings