Mbowe: Tulipata taarifa kuwa Mbunge Sugu na Emanuele Masonga watafungwa

Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe ameeleza kuwa taarifa siku nne kabla ya Mbunge wa Mbeya Mjini na Katibu wa Kanda ya Nyasa kuhukumiwa miezi mitano na zoezi hilo limearitibwa na Usalama wa Taifa na Mkuuwa Mkoa wa Mbeya.

Share Button
Layout Settings