Mwenyekiti wa (CHADEMA) Taifa Mhe. Freeman Mbowe amwetakia Waislamu wote Mfungo mwema wa Ramadhani. “Ndugu zetu Waislamu kwa niaba yangu na Chama, nichukue fursa hii kuwatakia Mfungo mwema wa Ramadhani. Allal awajalie yaliyo mema katika kufikia malengo mliyojiwekea, kwani yaliyo ...
Soma zaidiCategory Archives: Kona ya Mwenyekiti


Leo tarehe 22 Machi 2018, mimi na viongozi wenzangu waandamizi wa Chadema tumetakiwa tena kuripoti Polisi. Tunaokabiliwa na usumbufu huu ni pamoja na: Mhe Vincent Mashinji (Katibu Mkuu), Mhe. John John Mnyika, Mb na Naibu Katibu Mkuu Bara, Mhe. Salum Mwalimu, Naibu Katibu ...
Soma zaidi
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI (KUB), MHESHIMIWA FREEMAN AIKAELI MBOWE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018. Inatolewa chini ya Kanuni ya ...
Soma zaidi
HOTUBA ZA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WAKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA ...
Soma zaidi