Video: Kabla Polisi Hawajatawanya Mkusanyiko Hutakiwa Kutoa Ilani Mara 3.

Serikali haiumii kwamba raia wake amepoteza maisha inawaza imetumia pesa nyingi kumgharimia mwanafunzi Akwilina kwamba alikuwa mnufaika wa mkopo, Sisi CHADEMA tunalaani mauaji ya mwanafunzi Akwilina mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).Kwenye press hii anazungumza Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itifaki na Mambo ya Nje CHADEMA,John Mrema na Mkurugenzi wa Mafunzo na Operesheni CHADEMA, Benson Kigaila.

Share Button
Layout Settings