Category Archives: Habari

19 Feb
0

Chadema yasema haitambui matokeo Siha, Kinondoni

Dar es Salaam. Chadema imesema haitambui matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika katika majimbo ya Siha na Kinondoni jana Februari 17,2018. Chama hicho katika taarifa iliyotolewa jana usiku hata kabla ya matokeo kutangazwa, kimesema yamepatikana kinyume cha Katiba ya ...

Soma zaidi
19 Feb
0

Mgombea Chadema Salum Mwalimu akamatwa na Polisi Magomeni

Dar es Salaam. Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu amekamatwa muda huu na polisi katika kituo cha kupigia kura cha Idrisa kata ya Magomeni. Muda mfupi uliopita baadhi ya wananchi wa kata hiyo wamedai kuwa katika kituo ...

Soma zaidi
Layout Settings