10 Mar
0

HOTUBA YA MWENYEKITI MHESHIMIWA MBOWE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8, 2022 IRINGA

Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum. Ukiondoa kundi dogo sana, tena tuliloliamini lakini likakiasi Chama kwa vipande vya fedha, Wanawake mmekuwa nguzo ...

Soma zaidi