Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mheshimiwa John Heche na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Mheshimiwa Said Mzee Said wamepokea mamia ya watu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa hakipo tayari kushiriki mazungumzo yoyote na watu wanaotaka mazungumzo wakati Mwenyekiti wa Chama akiwa gerezani....
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. John Heche akihutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni #NoReformsNoElection katika uwanja wa Malori mjini Kahama. Operation ya No Reforms,...