No Reforms, No Elections
“Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi — Tunasimamia Demokrasia ya Kweli kwa Watanzania Wote!”
Changia




Changia Chama
Changia harakati za ukombozi wa kidemokrasia kwa maendeleo ya chama chetu. Kila mchango una maana, jitolee leo!
Jifunze Zaidi

Jisajili
Jiunge na harakati za mabadiliko. Jisaljili sasa upate taarifa na nafasi ya kushiriki shughuli za chama moja kwa moja.
Jifunze Zaidi

Pakua Chadema Digital
Pakua App rasmi ya Chadema upate habari, matukio na kushiriki harakati za kisiasa kwa urahisi.
Jifunze ZaidiPata habari za hivi punde na zilizothibitishwa
Habari Na Matukio
KARIBU CHADEMA
Karibu CHADEMA – Chama kinachopambania Uhuru, Haki, Demokrasia na Maendeleo ya watu.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha siasa chenye misingi ya demokrasia ya kweli na maendeleo jumuishi kwa wananchi wote wa Tanzania. Kilianzishwa tarehe 28 Mei, 1992 na kupatiwa cheti cha usajili wa kudumu tarehe 21 Januari 1993, kufuatia kuruhusiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini.
CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania na kimejikita katika kupigania haki, usawa, utawala wa sheria, na maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi. Chama hiki kinatetea mfumo wa utawala wa majimbo wenye kutoa mamlaka zaidi kwa wananchi katika ngazi za chini, kwa lengo la kuharakisha maendeleo ya maeneo mbalimbali ya nchi kwa kuzingatia mahitaji na vipaumbele vyao.
Chadema kwa Takwimu
Takwimu Tangu 1992

33
Miaka ya Uhai
10
Wanachama (M)
436
Viongozi Kupitia ChamaMatukio Yaliyopangwa
Uzinduzi Wa Operesheni - No Reforms, No Elections
Uwanja Wa Relini , Arusha Mjini, Arusha
JIUNGE NA HARAKATI ZA MABADILIKO LEO!
UNGANA NA CHADEMA
Jiunge na maono yetu ya kuendeleza taifa juu
Kuwa sehemu ya harakati za kweli za demokrasia na maendeleo. Jiunge nasi leo na uwe sehemu ya mabadiliko.
Jiunge Nasi© Copyright 2025. Developed By: CHADEMA