info@chadema.or.tz Daima Street, Mikocheni, Dar Es Salaam

Historia Yetu

1992

Kuanzishwa kwa CHADEMA

Chama kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992
kufuatia kuruhusiwa kwa vyama vingi

1995

Ushiriki wa Kwanza Uchaguzi Mkuu

Kilipata viti 4 Bungeni na madiwani 41 nchi nzima.

2005

Ushiriki wa Kwanza Uchaguzi Mkuu

Freeman Mbowe, alishika nafasi ya tatu kati ya wagombea kumi, kwa kupata asilimia 5.88 ya kura. Chadema kilipata wabunge 11 pamoja na Madiwani 103

2010

Kuongezeka kwa Umaarufu

Dkt. Willibrod Slaa alipata 27.1% ya kura za urais na viti vya ubunge 48.

2015

Muungano wa UKAWA

Chadema kilimsimamisha Mhe. Edward Lowassa alipata 31.75% ya kura za urais na viti vya ubunge 70 kwa kupitia muungano wa Ukawa.

2020

Tundu Lissu Kugombea Urais

Apata kura milioni 1.9 ya kura za urais na viti vya ubunge 20
rescue man

DAWATI LA MSAADA

+255 744 446 969

Wasiliana Nasi
JIUNGE NA HARAKATI ZA MABADILIKO LEO!

UNGANA NA CHADEMA

Jiunge na maono yetu ya kuendeleza taifa juu

Kuwa sehemu ya harakati za kweli za demokrasia na maendeleo. Jiunge nasi leo na uwe sehemu ya mabadiliko.

Jiunge Nasi