MAMIA KILWA WAHAMA VYAMA VYAO, WAJIUNGA CHADEMA

Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mheshimiwa John Heche na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Mheshimiwa Said Mzee Said wamepokea mamia ya watu waliohama vyama vyao na kujiunga na chama hicho. Mapokezi hayo yamefanyika kwenye mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Maalim Seif Garden uliopo Kilwa Kivinje Jumatano, … Continue reading MAMIA KILWA WAHAMA VYAMA VYAO, WAJIUNGA CHADEMA