Author Archives: Chadema Digital

03 Jul
0

TAARIFA KWA UMMA

  Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) limesikitishwa kuendelea kushikiliwa kwa Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Ndugu Twaha Mwaipaya na Jeshi la Polisi. Twaha Mwaipaya alikamatwa Juni 30, 2022 na Jeshi la Polisi Morogoro mjini, ambao kesho yake ya Julai Mosi, ...

Soma zaidi
24 Jun
0

Maafisa wa (CHADEMA) watinga Bungeni kuwasilisha Hukumu

Maafisa wa (CHADEMA) watinga Bungeni kuwasilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama dhidi ya Wabunge 19 wasio na Chama waliofukuzwa CHADEMA kwa utovu wa nidhamu. Maafisa wa Chadema kutoka kushoto ni Aron Mashuve na kulia ni Evance Luvinga wakiwa nje ya viunga ...

Soma zaidi
21 Jun
0

Mwenyekiti (BAWACHA) aalikwa Madrasa ya Wanawake Kigoma

Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa BAWACHA Mhe. Sharifa Suleiman pamoja na viongozi wa Baraza hilo Mkoa wa Kigoma leo Juni 21, 2022 wamealikwa kwenye Madrasaya kina Mama jimbo la Kigoma Mjini Kata ya Gungu na kulakiwa na Mwenyekiti ...

Soma zaidi
20 Jun
0

PICHA 10: Mkutano Mkuu Mbarali, Kanda ya Nyasa

 

Soma zaidi
11 Apr
0

MBOWE AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI

Leo Jumatatu Aprili 11, 2022 Mwenyekiti wa (CHADEMA) Taifa Mhe. Freeman Mbowe amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi Donald J. Wright kwenye Makazi rasmi ya Balozi, Oysterbay Dar es Salaam, Wamejadiliana kwa kina umuhimu wa kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia ...

Soma zaidi
02 Apr
0

Baraza la Uongozi kanda ya Magharibi kuketi Aprili 7 mwaka huu Kigoma

Soma zaidi
02 Apr
0

MBOWE AWATAKIWA WAISLAMU WOTE RAMADHANI NJEMA

Mwenyekiti wa (CHADEMA) Taifa Mhe. Freeman Mbowe amwetakia Waislamu wote Mfungo mwema wa Ramadhani. “Ndugu zetu Waislamu kwa niaba yangu na Chama, nichukue fursa hii kuwatakia Mfungo mwema wa Ramadhani. Allal awajalie yaliyo mema katika kufikia malengo mliyojiwekea, kwani yaliyo ...

Soma zaidi
30 Mar
0

MBOWE AKUTANA NA RAILA ODINGA

Mwenyekiti wa (CHADEMA) Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe leo Jumatano Machi 30, 2022 amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC Kenya Jijini Nairobi. Kupitia kwao, ...

Soma zaidi
21 Mar
0

MBOWE AWALILIA WAPENDWA WAKE

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Aikael Mbowe akiwa ameambatana na Mke wake Dkt. Lillian Mbowe wameweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Johari Mtei na Baba yake mdogo , marehemu Manase Mbowe, waliofariki akiwa ...

Soma zaidi
21 Mar
0

MBOWE AKUTANA NA MZEE MTEI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe: Freeman Mbowe leo Jumatatu Machi 21, 2022 amemtembelea Muasisi wa Chama Mzee Edwin Mtei nyumbani kwake Tengeru, Arusha kumpa pole Kwa kufiwa na Mkewe wakati akiwa Gerezani.

Soma zaidi
12
Layout Settings