Maafisa wa (CHADEMA) watinga Bungeni kuwasilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama dhidi ya Wabunge 19 wasio na Chama waliofukuzwa CHADEMA kwa utovu wa nidhamu.

Maafisa wa Chadema kutoka kushoto ni Aron Mashuve na kulia ni Evance Luvinga wakiwa nje ya viunga vya Bunge Dodoma,baada ya kuwasilisha hukumu ya Mahakama kuu kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿.

Share Button