Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa BAWACHA Mhe. Sharifa Suleiman pamoja na viongozi wa Baraza hilo Mkoa wa Kigoma leo Juni 21, 2022 wamealikwa kwenye Madrasaya kina Mama jimbo la Kigoma Mjini Kata ya Gungu na kulakiwa na Mwenyekiti wa Bawacha Wilaya hiyo Mhe. Fatuma Hamis

Share Button