Leo Jumatatu Aprili 11, 2022 Mwenyekiti wa (CHADEMA) Taifa Mhe. Freeman Mbowe amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi Donald J. Wright kwenye Makazi rasmi ya Balozi, Oysterbay Dar es Salaam, Wamejadiliana kwa kina umuhimu wa kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia , Maendeleo na furaha kwa watu wote.

Share Button