Mwenyekiti wa (CHADEMA) Taifa Mhe. Freeman Mbowe amwetakia Waislamu wote Mfungo mwema wa Ramadhani. “Ndugu zetu Waislamu kwa niaba yangu na Chama, nichukue fursa hii kuwatakia Mfungo mwema wa Ramadhani. Allal awajalie yaliyo mema katika kufikia malengo mliyojiwekea, kwani yaliyo mema kwenu ni mema kwetu sote.” Alisema Mhe. Mbowe

Share Button