Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Aikael Mbowe akiwa ameambatana na Mke wake Dkt. Lillian Mbowe wameweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Johari Mtei na Baba yake mdogo , marehemu Manase Mbowe, waliofariki akiwa Gerezani Ukonga.

Share Button