Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe: Freeman Mbowe leo Jumatatu Machi 21, 2022 amemtembelea Muasisi wa Chama Mzee Edwin Mtei nyumbani kwake Tengeru, Arusha kumpa pole Kwa kufiwa na Mkewe wakati akiwa Gerezani.

Share Button