1. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni kwa Kanda za Unguja na Pemba, uliofanyika leo Septemba 7, 2020, katika Uwanja wa Kibandamaiti, Zanzibar.

2. Mgombea Urais Mhe. Tundu Lissu akiwasili katika uwanja huo kwa ajili ya mkutano wa kampeni.

3. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim akihutubia mkutano huo wa uzinduzi wa kampeni katika Uwanja wa Kibandamaiti, Zanzibar.

4. Mgombea Mwenza, Mhe. Salum akiwasili Uwanja wa Kibandamaiti, ulipofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais leo Septemba 7, 2020.

5. Viongozi Wakuu na waandamizi wa Chadema, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe wakiwa meza kuu kabla ya mkutano huo kuanza Uwanja wa Kibandamaiti, Zanzibar, leo jioni.

6. Wananchi wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, kwa kanda za Unguja na Pemba, uliofanyika Uwanja wa Kibandamaiti, Unguja, leo jioni, Septemba 7, 2020.

 

Share Button