Watanzania wanataka mabadiliko. Wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM..
.
Home / Habari Matukio / Habari Picha / Uchaguzi Mkuu 2020 / Mhe. Tundu Lissu azungumza na Wananchi wa Jimbo Shinyanga mjini
Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akizungumza na Wananchi wa Jimbo Shinyanga mjini waliofika kwa ajili ya kumdhamini. #NiYeye2020 #SasaBasi #PeoplesPower